MAELEZO YA KUJIUNGA NA MTWANGONET
SIFA ZA MUOMBAJI
- Asasi yoyote iliyosajiliwa na inayofanya kazi wilaya ya Mtwara.
- Iwe inatambulika na mamlaka ya serikali ngazi ya mkoa, Wilaya na Halmashauri.
- Inayozingatia sheria na kufanya kazi halali kwa mujibu wa sheria za Tanzania.
- Iwe na ofisi inayofunguliwa.
- Iwe na wanachama.
- Iwe na nyaraka muhimu kama vile katiba, cheti cha usajili na uongozi.
GHARAMA ZA KUJIUNGA NA UANACHAMA
- Fomu ya kujiunga: Tshs. 5,000/= (Hulipwa mara moja tu).
- Ada ya maombi: Tshs. 25,000/= (Hulipwa mara moja tu).
- Ada ya Mwaka: Tshs. 40,000/= (Hulipwa kila mwaka).
- Jumla ya Malipo: Tshs. 70,000/=.
Malipo yafanyike kupitia:
Account Name: MTWANGONET
Bank Name: EXIM BANK
Account Number: 0020015044
Branch: MTWARA
Currency: Tanzania Shilling (TZS)
Swift Code: EXTNTZTZ
Wasilisha risiti ya malipo ofisini au tuma kwa email: mtwangonet@hotmail.com.
FOMU YA KUOMBA UANACHAMA WA MTWANGONET